• HABARI MPYA

  Monday, March 05, 2018

  MAN CITY YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA, YAIPIGA CHELSEA 1-0

  Bernardo Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Manchester City ikiilaza 1-0 Chelsea usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Ushindi huo unamfanya Pep Guardiola aongoze mbio za ubingwa kwa pointi 18 zaidi huku zikiwa zimebaki mechi tisa kukamilisha msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA, YAIPIGA CHELSEA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top