Kocha Arsene Wenger (kushoto) akisikitika baada ya timu yake, Arsenal kuchapwa mabao 2-1 na wenyeji, Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussex. Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Lewis Dunk dakika ya saba na Glenn Murray dakika ya 26, kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuifungia Arsenal dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rockets' Kevin Durant makes progress with injury but a return for Game 5
vs. Lakers seems unlikely
-
Houston’s Kevin Durant continues to make progress with his injured left
ankle, but it seems unlikely that he’ll return Wednesday night for Game 5
against t...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment