Bernardo Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Manchester City ikiilaza 1-0 Chelsea usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Ushindi huo unamfanya Pep Guardiola aongoze mbio za ubingwa kwa pointi 18 zaidi huku zikiwa zimebaki mechi tisa kukamilisha msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'A superstar in the making' - teen's journey from dog-sitting to World Cup
-
Who is England newcomer Tilly Corteen-Coleman, and what does she offer
Charlotte Edwards as the team's third left-arm spinner?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment