• HABARI MPYA

  Wednesday, January 10, 2018

  TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV

  Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka mfumo wa awali wa kupatiwa fedha pekee, Shi Milioni 1. Zoezi limefanyika ofisi za TFF, Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam na pia kuanzia sasa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu atakuwa anaptiwa king'amuzi cha Azam TV 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top