• HABARI MPYA

    Sunday, January 07, 2018

    MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 3-0 LA LIGA

    Nyota wa Barcelona, Luis Suarez, Lionel Messi na Paulinho baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camo Nou. Messi alifunga dakika ya 12, Suarez dakika ya 38 na Paulinho dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top