Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 63 na 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wimbledon kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley. Bao lingine la Spurs inayosonga mbele Raundi ya nne limefungwa na Jan Vertonghen dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool to open formal talks with Iraola
-
Liverpool will open formal talks with Andoni Iraola this week over becoming
their new head coach.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment