• HABARI MPYA

  Wednesday, January 31, 2018
  MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG

  MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG

  Mshambuliaji Michy Batshuayi akiwa ameshika jezi ya Borussia Dortmund baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea kuziba peng...
  GIROUD AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA ARSENAL

  GIROUD AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA ARSENAL

  KLABU ya Chelsea imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Oliver Giroud kutoka Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 18. The Gunners wamekubali ...
  OZIL AKUBALI KUJITIA PINGU ARSENAL KWA MIAKA MITATU MINGINE

  OZIL AKUBALI KUJITIA PINGU ARSENAL KWA MIAKA MITATU MINGINE

  KIUNGO mshambuliaji Mesut Ozil amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Arsenal kwa mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki. Mch...
  REKODI YA ALEXIS SANCHEZ UWANJA WA WEMBLEY INATISHA

  REKODI YA ALEXIS SANCHEZ UWANJA WA WEMBLEY INATISHA

  MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez anatarajiwa kuichezea Manchester United mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya England itakapomenyana na Tottenham...
  PERRE-EMERICK AUBAMEYANGA NI MCHEZAJI MPYA WA ASRENAL

  PERRE-EMERICK AUBAMEYANGA NI MCHEZAJI MPYA WA ASRENAL

  KLABU ya Arsenal imekamilisha uhamisho wa rekodi wa Pauni Milioni 56 wa mshambuliaji  Pierre-Emerick Aubameyang  kutoka  Borussia Dortmun...
  MAN UNITED YAMUONGEZEA MKATABA JUAN MATA HADI 2019

  MAN UNITED YAMUONGEZEA MKATABA JUAN MATA HADI 2019

  KLABU ya Manchester United imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja Juan Mata ambao utamalizika Juni 2019. Kocha Mreno, Jose Mourinho amezungumz...
  SAMATTA AREJEA NA PASI YA BAO GENK YAFUNGWA 3-2 KOMBE LA UBELGIJI

  SAMATTA AREJEA NA PASI YA BAO GENK YAFUNGWA 3-2 KOMBE LA UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana ametoa pasi ya bao la kwanza la timu yake, KRC Genk iki...
  LIVERPOOL YAIKANDAMIZA HUDDERSFIELD TOWN 3-0 LIGI KUU ENGLANG

  LIVERPOOL YAIKANDAMIZA HUDDERSFIELD TOWN 3-0 LIGI KUU ENGLANG

  Emre Can akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 26 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji,  Huddersfield Town U...
  ARSENAL TAABANI LIBERTY...WAFUMULIWA 3-1 KAMA WAMESIMAMA

  ARSENAL TAABANI LIBERTY...WAFUMULIWA 3-1 KAMA WAMESIMAMA

  Wachezaji wa Arsenal, Olivier Giroud na Aaron Ramsey wakiwa wanyonge baada ya kufungwa bao la tatu na Swansea City katika mchezo wa Ligi ...
  Tuesday, January 30, 2018
  MANCHESTER CITY YAMSAJILI LAPORTE KWA DAU LA REKODI

  MANCHESTER CITY YAMSAJILI LAPORTE KWA DAU LA REKODI

  Beki wa kati, Aymeric  Laporte akimbusu mpenzi wake Sara Botello huku ameshika jezi ya  Manchester City baada ya kukamilisha uhamisho wa ...
  ROSTAND AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION

  ROSTAND AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION

  Na Gwamaka Mwankota, MBEYA KIPA Mcameroon, Youthe Rostand leo ameibuka shujaa wa Yanga baada ya kupangua penalti tatu na kuiwezesha kuingi...
  PETER APIGA HAT TRICK AZAM FC YAITANDIKA SHUPAVU 5-0 ASFC MOROGORO

  PETER APIGA HAT TRICK AZAM FC YAITANDIKA SHUPAVU 5-0 ASFC MOROGORO

  Na Mwandishi Wetu, MOROGORO AZAM FC imetinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 4-0 dhi...
  TUMBA ALIYEIBUKIA AZAM AKANG’ARA COASTAL NA MBEYA CITY ASAINI MIAKA MIWILI TIMU YA KENYA

  TUMBA ALIYEIBUKIA AZAM AKANG’ARA COASTAL NA MBEYA CITY ASAINI MIAKA MIWILI TIMU YA KENYA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI Mtanzania, Tumba Lui Swedi amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu ya Wazito FC ya Kenya k...
  MAN UNITED KUIVAA HUDDERSFIELD AU BIRMINGHAM KOMBE LA FA

  MAN UNITED KUIVAA HUDDERSFIELD AU BIRMINGHAM KOMBE LA FA

  Alexis Sanchez (kulia) alianza kuichezea Manchester United katika Kombe la FA Ijumaa   PICHA ZAIDI HAPA     RAUNDI YA TANO YA KOMBE L...
  Monday, January 29, 2018
  PIQUE AONGEZA MKATABA BARCELONA WA KUCHEZA HADI ATAPOSTAAFU

  PIQUE AONGEZA MKATABA BARCELONA WA KUCHEZA HADI ATAPOSTAAFU

  Beki Gerard Pique akishikishwa jezi ya Barcelona baada ya kuongeza mkataba wa kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2022 atakapostaafu kabisa s...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  MAKALA

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  BIN ZUBEIRY WIKI HII

  Scroll to Top