• HABARI MPYA

    Sunday, December 10, 2017

    ROONEY AISAWAZISHIA EVERTON IKITOA SARE NA LIVERPOOL 1-1 ANFIELD

    Mshambuliaji Wayne Rooney akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Everton bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 77 kufuatia Mohamed Salah kutangulia kuifungia Liverpool dakika ya 42 katika sare ya 1-1 leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AISAWAZISHIA EVERTON IKITOA SARE NA LIVERPOOL 1-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top