• HABARI MPYA

    Wednesday, December 06, 2017

    MSHAMBULIAJI MPYA MGHANA WA AZAM FC MAZOEZINI CHAMAZI

    Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Bernard Arthur akiondoka na mpira katika mazoezi ya timu hiyo jana asubuhi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    Bernard Arthur amekuwa kivutio katika mazoezi ya Azam FC tangu awasili wiki iliyopita  
    Bernard Arthur (kushoto) akikimbia na wenzake Azam Complex, Chamazi
    Bernard Arthur hapa akifanya mazoezi ya gmy ndani ya Azam Complex
    Wachezaji wengine wa Azam FC wanaendelea na mazoezi pia na hapa wakiwa kwenye bwawa la kuogelea la Azam Complex

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MPYA MGHANA WA AZAM FC MAZOEZINI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top