• HABARI MPYA

    Sunday, December 10, 2017

    MAN CITY YAIZIMA MAN UNITED 2-1 PALE PALE OLD TRAFFORD

    Nicolas Otamendi akiwapigia saluti mashabiki baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 54 ikiwalaza wenyeji, Manchester United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Ole Trafford leo. David Silva alianza kuifungia Man City dakika ya 43, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 45 na sasa Pep Guardiola anamzidi Jose Mourinho pointi 11 kileleni PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAIZIMA MAN UNITED 2-1 PALE PALE OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top