• HABARI MPYA

  Tuesday, September 19, 2017
  KIPA MGHANA WA AZAM HATAKI KUFUNGWA LIGI KUU

  KIPA MGHANA WA AZAM HATAKI KUFUNGWA LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA namba moja wa Azam FC, Mghana, Razack Abalora amesema anataka kuendeleza rekodi yake ya kudaka bila ...
  TANZANITE YAREJEA DAR KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDIANO NA NIGERIA

  TANZANITE YAREJEA DAR KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDIANO NA NIGERIA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, ijulikanayo kama Tanzanite, imewasili salam...
  ROONEY AZUIWA KUENDESHA GARI MIAKA MIWILI

  ROONEY AZUIWA KUENDESHA GARI MIAKA MIWILI

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England, Wayne Rooney amehukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili na kufanya kazi za kijamii kwa saa  100 ku...
  Monday, September 18, 2017
  CARVAJAL ASAINI MKATABA WA KUUZWA PAUNI MILIONI 308 REAL

  CARVAJAL ASAINI MKATABA WA KUUZWA PAUNI MILIONI 308 REAL

  BEKI Dani Carvajal amesaini mkataba mpya na  Real Madrid  ambao ndani yake una bei ya kumuuza ambayo si rahisi mchezaji mwenyewe amesema; ...
  WACHEZAJI YANGA WAMFARIJI MANJI MAHAKAMANI, KESI YAKE NYINGINE YAAHIRISHWA

  WACHEZAJI YANGA WAMFARIJI MANJI MAHAKAMANI, KESI YAKE NYINGINE YAAHIRISHWA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga na benchi la Ufundi, leo wamemtembelea Mwenyekiti wao wa zamani, Yussuf Manji kumjulia...
  KOCHA NJOMBE MJI ANG’ATUKA BAADA YA KUPIGWA MECHI TATU MFULULIZO

  KOCHA NJOMBE MJI ANG’ATUKA BAADA YA KUPIGWA MECHI TATU MFULULIZO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Njombe Mji imepata pigo baada ya kocha wake Mkuu, Hassan Banyai kung’atuka kufuatia matokeo mabay...
  Sunday, September 17, 2017
  LUIZ ALIMWA NYEKUNDU, CHELSEA YATOA SARE NA ARSENAL DARAJANI 0-0

  LUIZ ALIMWA NYEKUNDU, CHELSEA YATOA SARE NA ARSENAL DARAJANI 0-0

  Beki wa Chelsea, David Luiz akionyeshwa kadi nyekundu dakika 87 kwa kumchezea rafu  Sead Kolasinac  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Englan...
  OKWI AFUNGA MAWILI, BOCCO MOJA, SIMBA YAUA 3-0

  OKWI AFUNGA MAWILI, BOCCO MOJA, SIMBA YAUA 3-0

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imewapa burudani ya nafsi mashabiki wake leo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC y...
  SAMATTA ATOKEA BENCHI DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAPIGWA 2-1

  SAMATTA ATOKEA BENCHI DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAPIGWA 2-1

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ametokea benchi usiku wa Jumamosi timu yake, KRC Genk i...
  Saturday, September 16, 2017
  PAULINHO AIFUNGIA LA USHINDI BARCELONA YAILAZA ETAFE 2-1

  PAULINHO AIFUNGIA LA USHINDI BARCELONA YAILAZA ETAFE 2-1

  Paulinho akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza wenyeji, Getafe 2-1 Uwanja wa  Coliseum Alfonso ...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  TANGAZO

  HABARI ZA KIMATAIFA

  HABARI PICHA

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top