• HABARI MPYA

    Sunday, December 04, 2016

    WANA YANGA WALIVYOJITOKEZA KUMSINDIKIZA MZEE MZIMBA SAFARI YAKE YA MWISHO

    Wanachama wa Yanga wakiusalia mwili wa kiongozi wao wa zamani, Yussuf Mzimba aliyefariki dunia jana mjini Dar es Salaam. Ibada hiyo ilifanyika nyumbani kwa mwanawe mkubwa, Khalid Magomeni Kwa Bi Nyau, Dar es Salaam leo mchana kabla ya safari ya kuusafirisha mwili huo kwenda Msoga, Chalinze kwa mazishi
    Mchezaji wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba (kulia) akiwa amebeba jeneza 
    Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega (kushoto) alikuwepo msibani
    Mzee maarufu wa Yanga, Ibrahim Akilimali (kushoto) alikuwepo pia
    Mwanachama maarufu, Juma Magoma (kulia) alikuwepo pia
    Wanachama wa Yanga wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu
    Jeneza la marehemu likipakizwa kwenye gari tayari kwa safari ya Msoga kwa mazishi
    Mbunge wa zamani wa Kinondoni na kiongozi wa zamani wa Simba, Iddi Azzan (wa pili kulia) alikuwepo msibani
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANA YANGA WALIVYOJITOKEZA KUMSINDIKIZA MZEE MZIMBA SAFARI YAKE YA MWISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top