• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2016

  TX MOSHI, ZAHIR ZORO ENZI ZAO WALIKUWA WATANASHATI KWELI

  Wanamuziki watanashati wa muziki wa dansi, Zahir Ally Zoro (kushoto) na Ally Muhoja Kishiwa, aliyejulikana zaidi kwa jina la TX Moshi William (sasa marehemu) wakifurahia pamoja miaka ya 1990 enzi zao wakitikisa katika anga la muziki nchini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TX MOSHI, ZAHIR ZORO ENZI ZAO WALIKUWA WATANASHATI KWELI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top