• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2016

  RAMOS AIBEBA REAL MADRID LA LIGA, APIGA LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO

  Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akienda hewani kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 3-2 Deportivo la Coruna usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morato dakika ya 50 na Mariano Diaz dakika ya 84, wakati ya wageni yalifungwa na Jose Luis 'Joselu' yote dakika za 63 na 65  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AIBEBA REAL MADRID LA LIGA, APIGA LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top