• HABARI MPYA

    Tuesday, December 06, 2016

    NATHAN AKE, KAMA GULLIT LAKINI NI KAMA RIJKAARD

    Beki Mholanzi, Nathan Ake kinda wa umri wa miaka 21 anayecheza kwa mkopo AFC Bournemouth kutoka Chelsea kimuonekano ni kama Ruud Gullit, lakini kiuchezaji ni kama Frank Rijkaard, magwiji wa zamani wa Uholanzi. Kijana huyo amekuwa gumzo baada ya kufunga bao la ushindi Jumapili Bournemouth ikiifunga 4-3 Liverpool katika Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NATHAN AKE, KAMA GULLIT LAKINI NI KAMA RIJKAARD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top