• HABARI MPYA

    Sunday, December 04, 2016

    LIVERPOOL YAFA 4-3 VITALITY, BOURNEMOUTH SI WA MCHEZO!

    Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimlamba chenga kipa wa AFC Bournemouth, Artur Boruc kuwafungia bao la kwanza Wekundu hao wakilala 4-3 Uwanja wa Vitality leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi na Emre Can wakati ya wenyeji yalifungwa na Callum Wilson kwa penalti, Ryan Fraser, Steve Cook na Nathan Ake PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAFA 4-3 VITALITY, BOURNEMOUTH SI WA MCHEZO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top