• HABARI MPYA

    Wednesday, December 07, 2016

    KIUNGO MGHANA AWASILI LEO KUSAINI SIMBA SC

    Kiungo kutoka Ghana, James Agyekhum Kotei (kulia) akizungumza na Mratibu wa Simba SC, Abbas Ally baada ya kuwasili nchini jioni ya leo kwa mipango ya kujiunga na vigogo hao wa soka nchini 
    James Agyekhum Kotei ni kiungo mkabaji ambaye anakuja kumsaidia majukumu Nahodha wa klabu kwa sasa, Jonas Gerald Mkude 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIUNGO MGHANA AWASILI LEO KUSAINI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top