• HABARI MPYA

    Sunday, December 11, 2016

    CHELSEA WALEEE, WAITWANGA WEST BROM 1-0 NA KUREJEA PALE JUU

    Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia na Cesc Fabregas baada ya kufunga bao pekee dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Brom 1-0 mchana wa leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea inarejea kileleni kwa ushindi huo ikifikisha pointi 37, tatu zaidi ya Arsenal baada ya timu zote kucheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA WALEEE, WAITWANGA WEST BROM 1-0 NA KUREJEA PALE JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top