• HABARI MPYA

  Sunday, December 18, 2016

  BELLE 9 ALIPOTAMBULISHA VIDEO YA WIMBO MPYA JANA

  Msanii Belle 9 akihojiwa na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali jana usiku nyumbani kwa Mbunge wa Chalinze, Pwani, Ridhiwani Kikwete kwenye kingo za bahari za Kawe, Dar es Salaam wakati wa utambulisho wa video ya wimbo wake mpya, Give It To Me
  Wakili Ridhiwani Kikwete (kulia) akionyeshwa DVD ya wimbo huo
  Ridhiwani aliyekuwa mgeni rasmi akiwa na marafiki mbalimbali kwenye hafla
   Ridhiwani akizungumza na msanii nyota wa filamu, Gabo Zigamba
   Ridhiwani (kushoto) akiwa na wasanii mbalimbali
  Ridhiwani akifurahia na rafiki zake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BELLE 9 ALIPOTAMBULISHA VIDEO YA WIMBO MPYA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top