• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2022

  AZAM FC YAMTEMA KIUNGO MUDATHR YAHYA


  KLABU ya Azam FC imehibitisha kuachana na kiungo wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake kumalizika tangu Juni 30, mwaka huu.
  “Tunamtakia kila la heri katika kazi yake ya mpira na tunamkaribisha klabuni kwetu wakati wowote,” imesema taarifa ya Azam FC.
  Pamoja na Mudathir, wengine walioachwa ni Mzimbabwe, Never Tigere, Mzambia, Charles Zullu na Mkenya, Paul Katema.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAMTEMA KIUNGO MUDATHR YAHYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top