• HABARI MPYA

  Monday, August 02, 2021

  YANGA SC YATAMBULISHA MCHEZAJI WA PILI MPYA, NI CHIPUKIZI YUSSUF ATHUMANI KUTOKA BIASHARA UNITED YA MARA

  KLABU ya Yanga imemtambulisha mchezaji mpya wa pili, mshambuliaji Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara.
  Chipukizi huyo anamfuatia mshambuliaji mwingine, Mkongo, Fiston Kalala Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Kinsahsa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliyetambulishwa jana.GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YATAMBULISHA MCHEZAJI WA PILI MPYA, NI CHIPUKIZI YUSSUF ATHUMANI KUTOKA BIASHARA UNITED YA MARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top