• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 04, 2020

  REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI NA KUPANDA KILELENI LA LIGA

  Raphael Varane akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 34 na 53 kabla ya Luka Modric kufunga la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Getafe kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez, hivyo kurejea kileleni sasa wakiizidi pointi moja Barcelona ambayo usiku huu inamenyana na Espanyol 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI NA KUPANDA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top