• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 04, 2020

  MAN CITY YASONGA MBELE KOMBE LA FA BAADA YA USHINDI WA 4-1

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Port Vale kwenye mchezo wa Raund ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Oleksandr Zinchenko dakika ya 20, Taylor Harwood-Bellis dakika ya 58 na Phil Foden dakika ya 76, wakati bao pekee la Port Vale limefungwa na Tom Pope dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YASONGA MBELE KOMBE LA FA BAADA YA USHINDI WA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top