Wachezaji wa Barcelona, Clement Lenglet (kushoto) na Nelson Semedo wakimdhibiti mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zilitoka sare ya1-1, Real Madrid wakitangulia kwa bao la Lucas Vasquez dakika ya sita kabla ya Malcom kuisawazishia Barcelona dakika ya 57 na sasa zitarudiana Februari 27 Uwanja wa Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment