Kocha wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United ya Shinyanga juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 3-3
Pierre Lechantre aliyejiunga na Simba SC mwezi uliopita hakufurahishwa na uchezaji wa timu yake juzi
Pierre Lechantre aliyechukua nafasi ya Mcmeroon, Joseph Marius Omog alilazimika kusimama kuzungumza na wachezaji wake
Huo ulikuwa mchezo wa mwisho kabla ya Simba kumenyana na El Masry ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika
Man City face pile-up after fixtures rescheduled
-
Manchester City face a fixture pile-up of four games in 11 days next month
after the Premier League confirmed the rescheduled dates for two of their
key ma...
51 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment