// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2018

    RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI

    Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 34 na 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga mchana wa leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Bao la wenyeji limefungwa na beki Ivan Ramis dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top