• HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2018

    DEMBELE AISAIDIA BARCELONA KUSHINDA SUPER CUP YA KATALUNYA

    Ousmane Dembele akiwatoka wachezaji wa Espanyol alipochezea kikosi cha wachezaji wa akiba katika mchezo wa kuwania Super Cup Katalunya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barcelona ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEMBELE AISAIDIA BARCELONA KUSHINDA SUPER CUP YA KATALUNYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top