Wachezaji wa Real Madrid wakiwa wanyonge baada ya sare ya 2-2 na wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa de Balaidos mjini Vigo inayozidi kuwaondoa kwenye mbio za ubingwa, sasa wakizidiwa pointi 16 na vinara Barcelona. Mabao ya Real Madrid jana yalifungwa na Gareth Bale yote dakika za 36 na 38, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Daniel Wass dakika ya 33 na Maxi Gomez dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment