Mchezaji mpya wa Barcelona, Philippe Coutinho aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 145 akitambulishwa usiku wa jana akiwa amevaa jaketi la timu hiyo Katalunya Uwanja wa Camp Nou. Lakini utambulisho rasmi wa mchezaji huyo kwenye kwenye kikosi cha Ernesto Valverde unatarajiwa kufanyika leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment