Ousmane Dembele akiburuza mpira baada ya kuingia zikiwa zimebaki dakika 20 kwa mara ya kwanza baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kwa sababu ya maumivu Barcelona ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Balaidos mjini Vigo. Barca walitangulia kwa bao la Jose Arnaiz dakika ya 15, kabla ya Pione Sisto kuwasawazishia wenyeji dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aryna Sabalenka beats American Jessica Pegula to win US Open with dominant
display in New York
-
At last, the Tiger rules in the concrete jungle. After two semi-finals
defeats and that agonising loss to Coco Gauff in last year's final, Aryna
Sabalenka...
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment