Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 35 kwa penalti baada ya Carlos Gonzalez kumuangusha Lucas Vasquez kwenye boksi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Numancia kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania iliyofanyika jana Uwanja wa Nuevo Estadio Los Pajaritos mjini Soria. Mabao mengine ya Real Madrid yalifunga na Isco kwa penalti dakika ya 89 baada ya Pape Diamanka kumchezea rafu Nacho na kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na Borja Mayoral dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Video: NIU HC Gets Emotional in Interview After Historic Upset of No. 5
Notre Dame
-
Northern Illinois head coach Thomas Hammock led his team to the biggest
upset win in program history on Saturday as the Huskies took down No. 5
Notre Dame in…
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment