• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 30, 2017

  TAMBWE ALIVYOMPIGA PAMBA ZA 'JANGWANI' MTOTO WAKE HADI RAHA!

  Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Joselyn Tambwe ameposti picha hii ya mwanaye mdogo kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa amemvalisha jezi za klabu yake. Je, mtoto huyo akikua atakuwa mpenzi wa Yanga?

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAMBWE ALIVYOMPIGA PAMBA ZA 'JANGWANI' MTOTO WAKE HADI RAHA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top