• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 25, 2017

  MAN UNITED MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE 2017, AJAX WAFA 2-0

  Wachezaji wa Manchester United wakifurahia na taji la Europa League baada ya kukabidhiwa usiku wa Jumatano Uwanja wa Friends mjini Solna, Stockholm nchini Sweden kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Ajax kwenye fainali, mabao ya Paul Pogba dakika ya 18 na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE 2017, AJAX WAFA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top