• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 27, 2017

  ARSENAL WAIBWAGA CHELSEA NA KUBEBA KOMBE LA FA

  Nyota wa Arsenal mwenye umri wa miaka 26, Aaron Ramsey akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 79 ikiilaza 2-1 Chelsea katika fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley, London. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Alexis dakika ya nne, kabla ya Diego Costa kuisawazishia Chelsea dakika ya 76. Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Victor Moses kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kujiangusha kwenye boksi dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAIBWAGA CHELSEA NA KUBEBA KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top