Arsene Wenger akiwa amejiinamia Uwanja wa Emirates leo licha ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, kwa sababu haijamsaidia kupata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kumaliza katika nafasi ya tano, nyuma ya Liverpool, nafasi ya nne, Manchester City ya tatu, Tottenham Hotspur ya pili na Chelsea waliotwaa ubingwa. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Hector Bellerin dakika ya nane, Alexis Sanchez dakika ya 27 na Aaron Ramsey dakika ya 90 na ushei, wakati la Everton limefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 58 kwa penalti. Laurent Koscielny alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 14 baada ya kumchezea rafu Enner Valencia na atakosa fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Advantage Man City? 'Queen bee' Guardiola leads them to summit
-
It took just five minutes for chants of "we are top of the league" to ring
out around Turf Moor, as the title pendulum continues to shift towards
Mancheste...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment