Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiwa ameinua Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka Mwanza ambako jana walicheza mechi yao ya mwisho ya ligi hiyo na kufungwa 1-0 na wenyeji, Mbao FC
Wachezaji wa Yanga, Hassan Kessy na Deo Munishi 'Dida' wakipiga picha na mashabiki
Sherehe za ubingwa wa Yanga kuelekea makao makuu ya klabu, Jangwani
Wachezaji wakifurahia na mashabiki wao
Shabiki wa kike akiusindikiza msafara kwa bajaji
Wachezaji wa Yanga wakifurahia kwenye gari
Rodri shows Barcelona exactly what they were missing in first start under
Hansi Flick
-
Rodri’s first start for Barcelona under Hansi Flick offered an early
glimpse of why the club made the midfielder one of the headline signings of
their summ...
2 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment