• HABARI MPYA

  Tuesday, May 23, 2017

  RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA MBWANA SAMATTA LEO UBELGIJI

  Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiwa na mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta baada ya kukutana mjini Brussels, Ubelgiji leo
  Rais Mstaafu, Kikwete yupo mjini Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya na Samatta alilazimika kusafiri kutoka Genk hadi mjini kwenda kumsalimia mzee wake huyo
  Samatta alikwenda kwa benzi lake kutoka Genk hadi Brussells


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA MBWANA SAMATTA LEO UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top