Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia na tuzo yake ya ufungaji bora wa Ligi Kuu Ujerumani, maarufu kama Bundesliga baada ya kumaliza na mabao 31 kufuatia jana kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Werder Bremen na Mgabon huyo mwenye umri wa miaka 27 kumzidi mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski katika kinyang'anyiro cha tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment