• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 27, 2017

  UWANJA WA JAMHURI HAKUNA PA KUKANYAGA, WATU WAMEFURIKA ILE MBAYA

  Umati wa mashabiki wa Simba Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma tayari kuishuhudia timu yao ikimenyana na Mbao FC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federtion Cup (ASFC) kuanzia Saa 10:00 jioni ya leo
  Wengi kati ya mashabiki hawa wamesafiri kutoka Dar es Salaam inapookea pia timu yao 
  Mashabiki wa Simba walianza kuwasili mjini Dodoma jana 
  Uwanja wa Jamhuri umepambwa kwa rangi nyeupe na nyekundu za mavazi ya mashabiki wa Simba na bendera zao
  Pamoja na watu wengi ndani, lakini na nje bado watu wapo kwenye foleni za kukata tiketi na wengine za kuingia  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UWANJA WA JAMHURI HAKUNA PA KUKANYAGA, WATU WAMEFURIKA ILE MBAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top