• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 28, 2017

  HASSAN AFIF, JULIO WALIVYOKINUKISHA SIMBA 1991

  Wachezaji wa Simba SC wakiongozwa na Hassan Afif na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wakisherehekea ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya SC Villa ya Uganda baada ya fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1991 Uwanja Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HASSAN AFIF, JULIO WALIVYOKINUKISHA SIMBA 1991 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top