• HABARI MPYA

  Saturday, May 27, 2017

  MAN CITY YANASA KIUNGO FUNDI, BERNARDO SILVA KUTOKA MONACO

  Kiungo Mreno, Bernardo Silva akiwa ameshika jezi ya Manchester City baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na timu hiyo kutoka Monaco ya Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YANASA KIUNGO FUNDI, BERNARDO SILVA KUTOKA MONACO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top