• HABARI MPYA

  Wednesday, May 31, 2017

  MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI

  PAMOJA na kushindwa kumaliza ndani ya nne bora kwenye Ligi Kuu ya England, Manchester United imetajwa kama klabu yenye thamani kubwa zaidi duniani.
  Taarifa ya kampuni ya KPMG imeiweka Man United juu ya vigogo wa Hispania, Real Madrid na Barcelona licha ya klabu hiyo kuwa inamilikiwa na familia ya Glazer.
  Orodha ya klabu tajiri inaonyesha timu sita za Ligi Kuu Englaand kwenye 10 za mwanzo. 
  Ripoti hii inatokana na uchunguzi uliofanyika kwenye klabu 39 kutokana na umaarufu wake kwenye mitandao ya kijamii, mapato ya misimu ya 2014/15 na 2015/16 na mafanikio yake katika michuano ya Ulaya.

  Manchester United ndiyo klabu tajiri zaidi duniani kwa sasa kwa mujibu wa ripoti ya KPMG PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

               HIZI NDIZO KLABU TAJIRI ZAIDI DUNIANI  
  Nafasi Klabu Thamani
  ya chini 
  Thamani
  ya kati 
   Thamani
   ya  juu  
  Manchester United3,004 3,095 3,186 
  2Real Madrid2,8952,9763,057
  3Barcelona2,6882,7652,843
  4Bayern Munich 2,3672,4452,523
  5Manchester City 1,9091,9792,049
  6Arsenal 1,8821,9562,029
  7Chelsea1,5241,5991,674
  8Liverpool1,2601,3301,400
  9Juventus1,1581,2181,277
  10Tottenham9781,0111,044
  11PSG9489981,049
  12Borussia Dortmund9179711,025
  13Atlético Madrid771793815
  14Schalke663691719
  15Milan504547590
  16Leicester442462482
  17Everton431457483
  18Roma433453473
  19Inter 407429451
  20Napoli388409431
  21Galatasaray357377398
  22Fenerbahce330349368
  23Benfica326340353
  24Lyon301317334
  25Athletic Bilbao285300315
  26Ajax258274290
  27Sevilla249261273
  28Valencia225235246
  29Lazio215227240
  30Besiktas207219231
  31PSV Eindhoven201210220
  32Marseille179187196
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top