• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 22, 2017

  BAO LA WAZI ZAIDI ABDUL SULEIMAN ALIKOSA JANA SERENGETI IKITOLEWA GABON

  Kiungo wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Abdul Suleiman akikosa bao la wazi baada ya kupiga mpira kutokea pembeni unaopitiliza upande wa pili kufuatia kumpita kipa wa Niger, Khaled Lawal Ibrahim jana katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Fainali za Afrika Uwanja wa Port Gentil mjini Port Gentil, Gabon. Niger walishinda 1-0 na kufuzu Nusu Fainali huku Tanzania ikitolewa  
  Abdul Suleiman alianza kumpiga chenga vizuri beki wa Niger, Djibrilla Ibrahim Mossi
  Lakini alipopiga mpira pamoja na kumpita kipa ukatoka nje na hakukuwa na mtu wa kuusindikiza nyavuni. Lilikuwa bao la wazi Serengeti walipoteza dakika za mwishoni jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAO LA WAZI ZAIDI ABDUL SULEIMAN ALIKOSA JANA SERENGETI IKITOLEWA GABON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top