• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 29, 2017

  MWONEKANO WA THOMAS ULIMWENGU BAADA YA KUNYOA RASTA

  Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita mshambuliaji wa AFC Eskilstuna ya Denmark, Thomas Ulimwengu mwenye mwonekano mpya baada ya kunyoa rasta katika mazoezi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jioni ya leo Uwanja wa Kituo cha Jakaya Kikwete (JMKYC), eneo la Gerezani, Dar es Salaam. Kulia ni kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga 
  Beki wa Azam, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kumtoka Shiza Kichuya
  Winga wa Yanga, Simon Msuva akipiga mpira dhidi ya Thomas Ulimwengu
  Kulia kabisa ni Mbaraka Yussuf Abeid wa Kagera Sugar
  Wachezaji wa Azam FC kutoka kulia Gardiel Michael, Erasto Nyoni na Shomary Kapombe

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWONEKANO WA THOMAS ULIMWENGU BAADA YA KUNYOA RASTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top