• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 28, 2017

  BARCELONA WATWAA KOMBE LA MFALME HISPANIA

  Wachezaji wa Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja na Kombe lao la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Mabao ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 30, Neymar dakika ya 45 na Paco Alcecer dakika ya 45, wakati la Alaves lilifungwa na Theo Hernandez dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA WATWAA KOMBE LA MFALME HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top