• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 31, 2017

  TARIMBA WA SPORTPESA ALIPOKABIDHIWA UZI WA EVERTON LEO DAR

  Mkurugenzi Mkuu wa klabu ya Everton FC ya England, Robert Elstone (kulia), akiwa na nyota wa zamani wa klabu hiyo Leon Osman, wakiwakabidhi Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa TZ Pavel Slavkov na Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa kampuni hiyo, Tarimba Abbas jezi mpya ya klabu hiyo leo mjini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TARIMBA WA SPORTPESA ALIPOKABIDHIWA UZI WA EVERTON LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top