Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Said Ndemla, Mohammed Hussein 'Tshabalala', Ibrahim Hajib, Jonas Mkude wote wa klabu ya Simba na Simon Msuva wa Yanga wakiwa nje ya kambi ya timu hiyo, hoteli Urban Rose, eneo la Kisutu, Dar es Salaam. Mkude amejiunga na timu hiyo leo baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa tangu jana usiku kufuatia kupatab ajali ya gari eneo la Dumila, Morogoro akitokea Dodoma.
Monday's Scottish Gossip
-
Arsenal manager Mikel Arteta says he recommends Glasgow as a transfer
destination as Celtic forwards talk about their Japan absences.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment