• HABARI MPYA

  Saturday, May 27, 2017

  ARSENAL WAKIFURAHIA NA MWALI WAO WA FA

  Wachezaji wa Arsenal wakifurahia na Kombe lao la FA England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Uwanja wa Wembley leo. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexis Sanchez dakika ya nne na Aaron Ramsey dakika ya 79, wakati la Chelsea limefungwa na Diego Costa dakika ya 76. Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Victor Moses kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kujiangusha kwenye boksi dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL WAKIFURAHIA NA MWALI WAO WA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top