• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 27, 2017

  MBAO WALIVYOWAWEKA ROHO JUU MASHABIKI WA SIMBA LEO JAMHURI

  Mashabiki wa Simba wakiwa wanyonge wakati mchezo baina ya timu yao na Mbao FC ukiendelea Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma na timu hizo zikiwa hazijafungana, kabla ya Wekundu wa Msimbazi kushinda 2-1 ndani ya dakika 30 za nyongeza.

  Akina dada hawa nao walikuwa Uwanja wa Jamhuri kuisapoti Simba  Lakini mashabiki wa Simba walianza kufurahi baada ya mshambuliaji Muivory Coast, Frederick Blagnon (katikati) kufunga bao la kwanza


  Mashabiki wa Yanga nao walikuwepo Uwanja wa Jamhuri kuisapiti Mbao FC  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAO WALIVYOWAWEKA ROHO JUU MASHABIKI WA SIMBA LEO JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top