• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 25, 2017

  SINGIDA UNITED YAIPIGA BAO YANGA USAJILI WA KENNY ALLY

  Kiungo Kenny Ally (kulia) aliyekuwa anatakiwa na Yanga akikabidhiwa jezi ya Singida United leo baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo mpya ya Ligi Kuu kutoka Mbeya City ya Mbeya. Katikati ni Mratibu wa Singida United, Sanga Festo na kushoto ni Katibu wa timu hiyo,
  Kenny Ally ameamua kusaini Singida United baada ya kuona Yanga wanachelewa kumalizana naye

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SINGIDA UNITED YAIPIGA BAO YANGA USAJILI WA KENNY ALLY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top